Sale!

The Glorious Arrest of a Family – SWAHILI EDITION – ebook

Original price was: $4.99.Current price is: $2.99.

The Glorious Arrest of a Family – SWAHILI EDITION – ebook

School of the Holy Spirit Series 8 of 12, Stage 1 of 3

Kukamatwa kwa Utukufu wa Familia

Uwepo wa Mungu ulionekana mbele yao nyumbani kwao na ulidumu kwa siku tatu. Kufikia siku ya tatu Mungu alikuwa amebadilisha maisha ya wote katika familia, kutia ndani yale ya mgeni! Aliwaonyesha mafumbo makubwa na matukio ambayo yangetokea hivi karibuni ulimwenguni; Kisha akawauliza “nendeni mkawaambie kila mtu” yale waliyoyaona. Kabla ya tukio hili Bwana & Bibi Okafor walikuwa na wakati mdogo au hawakuwa na wakati wa mambo ya Mungu. Leo, hadithi ni tofauti. “Mwisho wa mambo yote umefika na lazima tusaidie kuwaonya wananchi” mwandishi anasema.

Description

“…Ujumbe huu ni wa kuvutia, wa upendo, chini kabisa na ni wa HARAKA… Napendekeza kitabu hiki kwako ukisome na…kwa kuchukua hatua zinazofaa.”

🌍 Connected Kingdom Resources

Grow. Train. Pray. Discover Your Calling. Stay connected with the movement.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “The Glorious Arrest of a Family – SWAHILI EDITION – ebook”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Add to cart